MUJUNI BAITANI,JR

@MBaitani

Proud Dad|Social Media & Media Strategist| Change Facilitator, Practitioner & Stylist| IVLP Alumni| P/CVE Practitioner|Project Management| DeVotion Digital

Tanzania&East Africa
S-a alăturat în iunie 2013

Tweeturi

Ai blocat pe @MBaitani

Sigur vrei să vezi aceste Tweeturi? Vizualizarea Tweeturilor nu va debloca utilizatorul @MBaitani

  1. Tweet fixat
    18 oct. 2018

    "Transformation isn’t sweet and bright. It’s a dark and murky, painful pushing. An unraveling of the untruths you’ve carried in your body. A practice in facing your own created demons. A complete uprooting, before becoming."

    Anulează acțiunea
  2. a redistribuit
    10 dec.

    Leo Tar 10/12/2019 ni Kilele cha Maadhimisho ya Kampeni ya kimataifa ya Ushauri wako ni upi katika kuendeleza juhudi za kupinga na kukemea Ukatili!? 🤔

    , , și încă 7
    Anulează acțiunea
  3. a redistribuit
    8 dec.

    No matter how carefully you choose your words, they'll always end up being twisted by others.

    Anulează acțiunea
  4. 7 dec.

    "Rejoice in the Lord always. ... Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God. And the peace of God, which transcends all understanding, will guard your hearts and your minds in Christ Jesus."

    Anulează acțiunea
  5. 30 nov.

    : "Kaa shule soma, starehe zisizo na sababu zitakukwamisha kimasomo. Alafu utajikuta una lazimika kushawishiwa kutoa ngono ili upate alama za bure" Hakuna kisingizio Bora cha Rushwa ya ngono.

    , , și încă 5
    Anulează acțiunea
  6. 30 nov.

    "Msichana aliliyelelewa bila baba huwa amekosa mapenzi ya baba na anapokuja kwako wewe mhadhiri anatarajia usaidizi wa kisaikolojia zaidi na wala haji kwako kwa ajili ya mapenzi''

    , , și încă 7
    Anulează acțiunea
  7. 30 nov.

    Rushwa ya Ngono vyuoni na mashuleni inaumiza, dhalilisha pamoja na kumjengea uoga Mwanafunzi kusoma kwa raha. Tuungane na waliyopo na wakishirikiana na kuwezesha jukwaa la wanafunzi kupaza Sauti na ku

    , , și încă 5
    Anulează acțiunea
  8. a redistribuit
    30 nov.

    Young Feminist Forum (YFF) is taking place today @MzumbeUniversity Theme: Enhancing the understanding of sextortion in higher learning institutions.

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  9. a redistribuit
    30 nov.

    Unaelewa nini juu ya rushwa ya ngono katika taasisi za elimu ya juu nchini ? Ungana nasi leo tukiwa na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Mzumbe tukijadili kinagaubaga juu ya dhana hii dhalimu kwa wanawake

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  10. a redistribuit
    30 nov.

    Rushwa ya ngono ni kikwazo cha maendeleo ya mwanamke na taifa kwa ujumla. Leo tukiwa na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha mzumbe , tutaangazia athari za rushwa hii kwa wanawake vyuoni. Usipitwe na mjadala huu muhimu

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  11. a redistribuit
    30 nov.

    Rushwa ya ngono vyuoni ni chanzo cha anguko la kitaaluma. Simama nasi leo tukiwa na Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Mzumbe na tupaze sauti pamoja dhidi ya ukatili huu unaofanywa kwa wanawake

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  12. a redistribuit
    30 nov.

    Takwimu zinaonyesha wanawake wanaolewa wadogo takriban miaka 5 mapema zaidi ya wanaume, Zaidi ya 70% ya wanawake ktk baadhi ya jamii wamekeketwa & takribani watoto wakike milioni 7.9 Nchini wamekeketwa. Rose Paul, Vice President CHSS, UDOM

    , , și încă 5
    Anulează acțiunea
  13. a redistribuit
    30 nov.

    In Tanzania, sextortion poses a huge barrier to young girls and women in education, economic opportunities, health, peace and security. It undermines global efforts to bring about gender equality and women empowerment.

    , , și încă 7
    Anulează acțiunea
  14. a redistribuit
    30 nov.

    Siku ya 6: Tupo na wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma katika Kauli mbiu ikiwa ni “Kizazi cha Usawa Tokomeza Ubakaji”, ungana nasi sasa.

    , , și încă 7
    Anulează acțiunea
  15. a redistribuit
    30 nov.

    Tujue sheria zinazopinga unyanyasaji wa kijinsia, Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 - Inatoa haki na usawa kati ya Me/Ke. Na sheria ya mtoto ya 2009 inapinga ukatili dhidi ya watoto. Habiba Saidi, Mwanafunzi UDOM

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  16. a redistribuit
    27 nov.

    Domestic violence and rape are "reportedly common" in Tanzania. Source: Freedom House 2015

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  17. a redistribuit
    27 nov.

    "Ripoti ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2019 (World population review by country 2019) inaonesha kuwa takribani asilimia 35 ya wanawake wote duniani wamekutana na aina za ukatili na udhalilishaji wa kingono katika maisha yao." - Lilian Liundi

    Afișează acest fir
    Anulează acțiunea
  18. a redistribuit
    27 nov.

    "Kitaifa, takwimu za ripoti ya Kituo cha haki za binadamu , April 2019 inasema kuwa kutokana na taarifa za polisi wanawake 1,218 wameripoti kufanyiwa vitendo vya ubakaji kati ya Januari hadi June 2018" - Lilian Liundi

    Afișează acest fir
    Anulează acțiunea
  19. a redistribuit
    27 nov.

    Jukumu la kupinga ukatili wa kijinsia ni la makundi yote katika jamii. Ukatili wa kijinsia utakoma endapo na wnaume na wanawake watashiriki kikamilifu.

    , , și încă 6
    Anulează acțiunea
  20. a redistribuit
    27 nov.

    "Pamoja na mambo mengi ambayo leo, tunajadili hapa, rushwa ya ngono pia imekuwa aina mojawapo ya ukatili wa kingono unaosumbua wanawake katika maeneo mbalimbali ya haki." - Lilian Liundi

    Afișează acest fir
    Anulează acțiunea
  21. a redistribuit
    27 nov.

    "Usawa wa Kijinsia ni nguzo ya Tanzania ya viwanda kwani itatoa nafasi sawa kwa kila mtu kushiriki katika uchumi" Lilian Liundi - Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP

    Afișează acest fir
    Anulează acțiunea

Încărcarea pare că durează ceva timp.

Este posibil ca Twitter să fie suprasolicitat momentan sau să întâmpine mici probleme. Încearcă din nou sau vizitează Starea Twitter pentru mai multe informații.

    S-ar putea să-ți placă și

    ·