Change Tanzania

@ChangeTanzania

“Never doubt that a small group of thoughtful, committed citizens can change the world; indeed, it's the only thing that ever has.” - Margaret Meade

Tanzania
Joined January 2012

Tweets

You blocked @ChangeTanzania

Are you sure you want to view these Tweets? Viewing Tweets won't unblock @ChangeTanzania

  1. Pinned Tweet
    Oct 19

    Matokeo ya Makubaliano ya serikali ya Tanzania na Barrick Gold ni:

  2. Retweeted
    17 hours ago

    ni jukwaa shirikishi ktk masuala ya picha za simu. Kama huwa unapiga picha za simu, tunapenda kutambua uwepo wako Instagram. Tufuate tukuone..👍🏾

    , , and 2 others
  3. Retweeted
    Nov 13

    Acha kupoteza muda wako wa thamani kwenye umbea. Unakusaidia kulipa mahitaji yako? Inakusaidia kufanikiwa? Nina uhakika haikusaidii. Wekeza muda wako kwenye vitu ambavyo vitakusaidia kukua na kuendelea mbele. Maisha ni mafupi sana kujihushisha na maongezi yasiyo na faida. — Mo

  4. Retweeted
    Nov 13

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevikataza vyama vya siasa kuzungumza mambo yasiyohusiana na kumnadi mgombea wake kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani unaoendelea nchini

  5. Retweeted
    Nov 13

    Hivi ndivyo Safari ya kuelekea kutumikia Miaka miwili Gerezani kwa Mwigizaji maarufu Elizabeth Michael (LULU) ilivyokuwa.

  6. Retweeted
    Nov 13

    .... Sheria imeshika mkondo, mtangazaji ni hoi lakini hizo sababu mf kwenda party bila idhini?!

  7. Retweeted
    16 hours ago
  8. Retweeted
    Nov 10

    Wasanii waache Siasa? Waziri anasahau sanaa ni sehemu ya maisha? Waziri anasahau "siasa" ni jumla ya maisha yetu. Hizi ni fikra za "Utopian" kabisa

  9. Retweeted
    Nov 10

    Dkt. Mwakyembe: Nimesikiliza nyimbo nyingi, wapo wanaofanya vizuri lakini wapo wanaokiuka maadili hivyo lazima tuwarudishe kwenye mstari > Wasanii waache siasa wasijifananishe na Wabunge walioko Bungeni, Ukitaka kufanikiwa, imba kwa weledi

  10. Retweeted
    Nov 10

    Mwakyembe: Ukitaka kufanikiwa katika sanaa (Msanii) usijaribu kujiingiza na kubaki kuwa Mwanasiasa. Bobea katika weledi, imba nyimbo za maana. Ukitaka fanya siasa jua wewe ni raia wa kawaida, huna protection kama ambayo wanayo wabunge. Utashtakiwa...

  11. Retweeted
    Nov 10

    SWALI: Kwanini wasanii wakiikosoa Serikali wanapata matatizo. Mfano Roma Mkatoliki?

  12. Retweeted
    Nov 10

    Dkt. Mwakyembe: Suala hili lilifika kwenye Baraza la Mawaziri awamu iliyopita ikaamuliwa Watanzania waachwe waamue wenyewe

  13. Retweeted
    Nov 10

    MWakyembe: Serikali iliamua kuacha suala la vazi la Taifa libaki ni maamuzi ya wananchi wneyewe. Watanzania wana haki ya kuibua tena mjadala ili kuweza amua kupata vazi la Taifa.

  14. Retweeted
    Nov 10

    SWALI: Nini msimamo wa Serikali kuhusiana na Vazi la Taifa?

  15. Retweeted
    Nov 10

    Mwakyembe: Suala la usumbufu wa kupatikana Sticker liende wizarani na lipelekwa BASATA ili kujua ni nani TRA anaesababisha serikali kukosa mapato.

  16. Retweeted
    Nov 10

    SWALI: Utafanyaje kumaliza ufumbuzi wa tatizo la upatikanaji wa Sticker za TRA ili kurahisisha wasanii kuuza kazi zoa kwa urahisi?

  17. Retweeted
    Nov 10

    Dkt. Mwakyembe: Sitaki kuliongelea sana kwa sababu tumepambana sana Kidiplomasia lakini wenzetu wakaja na uwamuzi wao > Tunapaswa kuwa na subira, maana hao FIFA na CAF wana mamlaka makubwa sana tusije kukosa vyote

  18. Retweeted
    Nov 10
    Replying to

    Sina hakika kama Mh Waziri anasema kweli pale aliposema wanaoweza kutangaza waende kwake. Rais alishasema kazuia yeye.

  19. Retweeted
    Nov 10

    Mwakyembe: Zanzibar ni associate member wa CAF na sisi kama Serikali tumepamana sana kuhakikisha kwamba Zanzibar ina ushiriki wake FIFA na CAF lakini hatukufanikiwa.

  20. Retweeted
    Nov 10

    SWALI: Kukataliwa Zanzibar CAF na FIFA kunarudisha nyuma sana maendeleo ya mpira wa miguu. Je unalichukuliaje suala hili ambalo ni kama la Muungano?

  21. Retweeted
    Nov 10

    SWALI: Kukataliwa CAF na FIFA kwa Zanzibar huoni kama kunarudisha michezo nyuma?

Loading seems to be taking a while.

Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.

    You may also like

    ·